Skip to product information
Sale price
25,000.00 TZS
Regular price
35,000.00 TZS
Details
Hii blueprint/muongozo wa kiswahili wa kuuacha uke wako uwe msafi muda wote. Kama umekuwa na changamoto za miwasho isiyoisha jifunze humu ni summary fupi tu ambayo itakusaidia namna sahihi ya kujitunza, vitu gani upake ili kuepukana na magonjwa ambukizi kutokana na mazingira ya kushare public toilets. i.e. kuwashwa, harufu mbaya au anya urine infections. Kuwa miongoni mwa watu 100 wa kwanza kukipata kwa punguzo!